Welcome to Princeville!
Leo ni tarehe 1 January 2008. Tumepata mtoto, mwenyewe aitwa “prince” (baadaye ntawaeleza chimbuko la jina hili). Ndiyo, blogu hii imezaliwa rasmi. Naahidi kuwa karibu nanyi, kurekebisha hapa na pale, na kuwakaribisha barazani tuonje ”kahawa”…….